Mwangaza unaoonekana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 24:
Baadaye skeli ya kale ilipanuliwa pande zote mbili kwa kupokea pia magimba angavu zaidi au hafifu zaidi. Kufuatana na ufafanuzi wa mwaka 1850 kiasi cha ungavu wa nyota ya daraja la kwanza (1.0 mag) ni mara 100 mwangaza wa nyota ya 6.0 mag, na hiyo mara 100 kuliko nyota ya 11.0 mag.
 
Mwanzoni nyota ya [[Kutubu]] (Polaris) ilifafanuliwa kuwa na mag +2. Baada ya kutambua ya kuwa Kutubu ni [[nyota geugeu|nyota badilifu]] <nowiki/>sasa ni Vega inayotumiwa kama nyota ya kurejelea yenye mag 0 (inaweza kuonekana angavu zaidi kidogo). Kuna nyota nne tu zinazoonekana angavu zaidi nazo ni Shira [[Shira ''(Sirius)'']], [[Suheli|Suheli ''(Canopus)'']], [[Rijili Kantori|Rijili Kantori ''(Rigil Kentaurus, α Cen)'' ]] na [[Simaki|Simaki (Arcturus)]]), Shira ina mag -1.46.
 
== Mifano ya mwangaza unaoonekana==