Tofauti kati ya marekesbisho "Boya"

4 bytes added ,  miezi 10 iliyopita
no edit summary
(Removed redirect to Boyaokozi)
Tag: Removed redirect
Boya zinazooyesha njia za maji (sehemu ambako kina cha maji yanatosha kwa meli) mara nyingi huwa na taa zikihitaji huduma ya kubadilisha beteri zao.
 
Boya za pekee huwa na vifaa vya upimaji; vinaweza kutumiwa kama [[kituo cha metorolojia ]], vingine huimahupima hali ya bahari vikielea bila kufungwa na kutuma data kwa njia ya redio.
 
[[Boyaokozi]] si boya halisi bali kifaa cha kujiokoa wakati boti, meli au feri inazama na watu wanahitaji msaada wa kutozama.