Mshtarii : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Portrait of Jupiter from Cassini.jpg|thumb|250px|right|Picha ya Mshtarii iliyopigwa na [[chombo cha angani]] [[Cassini]]]]
'''Mshtarii''' (pia '''Mshiteri''', '''Mushtarii''' au '''Mshatira'''<ref>kuhusu majina ya sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina ya asilia linganisha [[Jan Knappert]], Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [http://books.google.de/books?id=yzsVAAAAIAAJ&pg=PA97&lpg=PA97&dq=swahili+milky+way&source=bl&ots=TTuUw8pwyY&sig=VpAq9mWXJ-BwDL5w0DwxouIpcGw&hl=de&ei=x9FATPawC4bG4AbppeDXDg&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBUQ6AEwADgK#v=onepage&q=swahili%20milky%20way&f=false]</ref> , kutokana na [[Kiarabu]] "المشتري" al-mshtari; na hata '''Jupita''' kutokana na [[Kiingereza]] '''Jupiter'''<ref>Umbo nyinginelingine ni '''[[Sumbula]]''' linalotumiwa inayotumiwa kwa kosakimakosa na [[vitabu]] kadhaa zavya [[shule]] pia na [[kamusi]] chache. Sumbula ni jina la la Kiswahili la nyota Alfa Virginis au [[:en:Spica]], si la sayari yoyote</ref>) ni [[sayari]] ya [[tano]] toka kwenye [[jua]] katika [[Mfumo wa jua]] na sayari zake.
 
[[Picha:Jupiter Earth Comparison.png|thumb|left|Ulinganishi wa ukubwa wa [[Dunia]] yetu (kushoto) na Mshtarii pamoja na "doa jekundu" inayozunguka katika [[angahewa]] ya Mshtarii.]]
Mshtarii ni sayari kubwa kabisa ya jua letu. [[Maada]] yake inazidi mara [[mbili]] na [[nusu]] maada ya sayari zote nyingine zote pamoja.
 
== Angahewa ==
Mshtarii haina uso unaoonekana. Sehemu kubwa ya [[masi]] ya sayari ni [[elementi]] nyepesi kama [[hidrojeni]] na [[heli]] ambazo ni [[gesi]] katika [[mazingira]] ya duniani. Hii nindiyo sababu ya kwamba sayari kubwa za Mshtarii pamoja na Zohali huitwa "sayari jitu za gesi".
 
KadriKadiri gesi hizihizo zinapatikanazinavyopatikana chini zaidi (yaani kuelekea ndani) [[uzito]] wa [[tabaka|matabaka]] ya juu unaongeza [[shinikizo]] katika [[Kilindi|vilindi]] vyake na kusababisha [[gesi]] za [[angahewa]] kuingia katika hali ya [[giligili]] (majimaji) inayobadilika kuwa [[mango]] (imara) ndani zaidi. Zamani iliaminika ya kwamba sayari yote ni ya gesi iliyoganda lakini siku hizi [[wataalamu]] wa [[astronomia]] huamini kwamba kuna [[kiini]] cha [[mwamba]] au [[metali]].
 
Doa jekundu linaloonekana usoni mwa angahewa ni [[dhoruba]] ya [[tufani]] kubwa sana iliyotazamwa tangu [[darubini]] za kwanza zilipopatikana. Duniani tufani zinapotea kwa kawaida baada ya [[wiki]] kadhaa lakini doa jekundu limeendelea bila kusimama kwa miaka 300.
 
== Miezi ==
Mshtarii ina [[miezi]] 79 iliyotambuliwa hadi mwaka [[2018]]<ref name=shep-main>{{cite web |url=http://www.dtm.ciw.edu/users/sheppard/satellites/ |title=The Giant Planet Satellite and Moon Page |author=Sheppard, Scott S. |publisher=Department of Terrestrial Magnetism at Carnegie Institution for Science |accessdate=December 19, 2014 |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/web/20090607094153/http://www.dtm.ciw.edu/users/sheppard/satellites/ |archivedate=June 7, 2009 |df=mdy-all}}</ref>.
 
Miezi minne mikubwa ilitambuliwa mwaka [[1610]] na [[Galileo Galilei]] aliyekuwa kati ya [[wanaastronomia]] wa kwanza waliotumiakutumia darubini. Ndiyo [[Io (Mshtarii)|Io]], [[Europa (Mshtarii)|Europa]], [[Ganimedi (Mshtarii)|Ganimedi]] na [[Kallisto (Mshtarii)|Kallisto]]. Ukubwa wa Ganimedi unakaribia [[kipenyo]] cha [[Utaridi]] ukipita kile cha [[Pluto]]. Miezi 63 huwa na kipenyo chini ya [[kilomita]] 10. Mwezi mdogo kabisa wa Mshtarii unajulikana kwa [[namba]] tu na una kipenyo cha [[km]] 1.
 
==Tanbihi==
{{marejeo}}
{{mfumo wa jua na sayari zake}}
 
{{mbegu-sayansi}}
{{wikinyota}}
{{mfumo wa jua na sayari zake}}
 
[[Jamii:Sayari]]
[[Jamii:Mshtarii]]