Kimbunga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
→‎Hatari za kimbunga: sarufi na marejeo
Mstari 13:
 
== Hatari za kimbunga ==
Kimbunga kinaweza kusababisha hasara kubwa kikigusakikikubana na [[meli]] baharini na zaidi [[Mwambao|mwambaoni]] inapofikiakinapofikia nchi kavu au [[visiwa]]. [[Nguvu]] ya upepo husukuma maji mengi ya bahari inayoweza kufikia [[mita]] kadhaa [[Uwiano wa bahari|juu ya uwiano wa kawaida]] wakati wa kufika mwambaoni. [[Wimbi]] kubwa linaleta [[mafuriko]] wa ghafla yanayoweza kuvunja [[nyumba]] na kupeleka maji ya bahari [[mita]] [[mia]] kadhaa [[Bara|barani]]; penye [[mdomo]] wa [[mto]] wimbi la bahari linaendelea kuenea kwa kufuata njia ya mto.
 
Hatari zinazofuata ni hasa kasi ya [[upepo]] pamoja na kiasi kikubwa cha [[mvua]].<ref>{{Cite web|url=https://scied.ucar.edu/webweather/hurricanes/hurricane-impacts|title=Hurricane Impacts|author=UCAR Center for Science Education|work=University Corporation for Atmospheric Research - UCAR- Center for Science Education website|accessdate=2019-06-05}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://www.eartheclipse.com/natural-disaster/causes-and-effects-hurricanes.html|title=Causes and Effects of Hurricanes|author=Sonia Madaan|date=2017-09-27|language=en-US|work=Earth Eclipse|accessdate=2019-06-05}}</ref> Kasi ya upepo inaweza kuinua vitu vizito kama [[miti]], [[mapaa]] ya nyumba<ref>{{Cite web|url=https://primeroofingfl.com/blog/hurricane-coming-a-guide-on-how-to-protect-your-roof/|title=Hurricane Coming? A Guide on How to Protect Your Roof|author=Prime Roofing|date=2018-11-19|language=en-US|work=Prime Roofing|accessdate=2019-06-05}}</ref> au [[magari]] na kuvirusha mbali. [[Watu]] huuawa na [[mali]] kuharibiwa. Wingi wa mvua husababisha mafuriko yanayofuata njia ya kimbunga juu ya nchi kavu, wakati mwingine kwa [[kilomita]] mia kadhaa kutoka mwambao<ref>[https://www.weather.gov/safety/hurricane Hurricane Safety Tips and Resources], tovuti ya Idara ya Meteorolojia ya Kitaifa, Marekani, iliangaliwa Machi 2019</ref>.
 
Huko [[Amerika]] ni hasa [[visiwa vya Karibi]] na nchi jirani za [[Ghuba ya Meksiko]] pamoja na kusini mwa [[Marekani]] zinazoathiriwa kila [[mwaka]].