Mchwa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
→Usumbufu wa mchwa: kuchangua mada - usubufu wa mchwa |
No edit summary |
||
Mstari 26:
* Termopsidae
}}
'''Mchwa''' ni [[wadudu]] wadogo wa [[oda ya chini]] [[Isoptera]] katika [[oda]] [[Blattodea]] wanaoishi kwa makoloni makubwa katika [[kichuguu|vichuguu]]. Kuna aina ya mchwa
Kila [[koloni]] lina [[malkia (mdudu)|malkia]], [[mfalme (mdudu)|mfalme]], [[askari (mdudu)|askari]] na [[wafanyakazi (mdudu)|wafanyakazi]]. Askari na wafanyakazi hawana [[mabawa]] lakini malkia na mfalme waliwahi kuwa na mabawa walipokuwa [[vijana]]. Mfalme anamtia malkia [[mimba]] na huyu anazaa [[yai|mayai]] mengi sana. Askari wanalinda kichuguu na wafanyakazi wanafanya kazi nyingine zote.
Mstari 37:
Mchwa wametumika katika hadithi nyingi za kitoto ili kufunza maadili ya bidii na umoja. Kwa kawaida, mchwa hukaa wote pamoja katika koloni.
Katika maandiko ya [[Biblia]] ya Kikristo katika kitabu cha Methali,
Mwandishi [[Aesop]] pia aliandika kuhusu bidii ya mchwa katika hadithi yake 'The Ant and the Grasshopper'.
== Usumbufu wa mchwa ==
Hata hivyo, watu wengi huona mchwa kama wasumbufu haswa anapoishi karibu na majengo ya watu. Mchwa hula [[mbao]] na kwa hiyo huharibu [[mlango|milango]], [[samani]] na [[boriti|maboriti]] ya [[nyumba]].<ref>[http://www.buildinginspectionsadelaide.com.au/timber-pest-inspections-necessary-buying-house/ Timber pests]</ref> Kwa wale wanaoishi ndani ya mbao na kula vifaa vya mbao nyumbani huleta pia tatizo la uchafu kutokana na kinyesi chao.<ref>[https://pestsguide.com/termites/termite-droppings-in-your-house/ Kuhusu kinyesi cha mchwa]</ref> Kwa hiyo, watu wengi hutafuta madawa ya kuua wadudu hawa au njia zingine asili za kuwadhibiti kama vile utumizi wa udongo ''Diatomaceous'' au mafuta ya [[kitunguu saumu]]
|