Kipazasauti : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d Masahihisho aliyefanya Hreflafa (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala Tag: Rollback |
||
Mstari 5:
==Misingi ya kipazasauti==
Inapokea mishtuko ya [[umeme]] na kuibadilisha kuwa mwendo wa [[sumaku]] ndogo ndani yake inayosogea mbele na nyuma. Sumaku inaunganishwa na mtando wa kipaza sauti na kuitetemesha kwa miendo yake. Mitetemo ya utando ndani ya kipaza sauti inaendelea kama mitetemo ya [[hewa]] mbele ya utando. Mitetemo inasambaa na kupokelewa na [[kiwambo cha sikio]] kama sauti.
Kinyume cha kipazasauti ni [[kinasasauti]] ''(microphone)'' inayopokea mitetemo ya sauti kwa utando ndani yake na kuibadilisha kuwa mishtuko ya umeme inayoweza kupokewa tena na kipaza sauti.
|