Mabwepande : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 27:
 
[[Mkuu wa Mkoa]] wa Dar es Salaam, [[Paul Makonda]], amewahi kufika katika kata hiyo kutatua migogoro ya ardhi.https://www.facebook.com/247412001951938/photos/wananchi-wanaodaiwa-kuvamia-shamba-la-waziri-mkuu-mstaafu-fredrick-sumaye-lililo/1262424543784007/
 
==Historia ya Mabwepande==
Inasadikika kuwa hapo zamani Mabwepande ilikuwa ikiiitwa Mawepande kwa sababu kulikuwa na mawe makubwa mawili na msitu wa Pande.lakini ujio wa wazungu ulibadilisha jina hilo kwa sababu walikuwa hawawezi kutamka vizuri jina hilo na kupelekea kuitwa Mabwepande.
 
==Marejeo==