Ulanzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d "aina ya" sio "ya aina"
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Ulanzi''' ni pombe inayotengenezwa kwa kutumia utomvu wa [[mianzi]] midogo aina ya Oxytenanthera abyssinica ambayo haijakomaa.
 
Mianzi inayoanza kukua hukatwa vilele wakati wa majira ya mvua. Utomvu hukusanywa katika chombo. Kiowevu hiki kinaanza kuchachuka mara moja.