Kampuni ya Kiingereza kwa Uhindi ya Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Flag of the British East India Company (1801).svg|250px|right|thumb|Bendera ya Kampuni ya Kiingereza kwa Uhindi wa Mashariki tangu [[1801]]]]
 
'''Kampuni ya Kiingereza kwa Uhindi wa Mashariki''' ilianza mwaka [[1600]] kama shirika ya binafsi ya biashara kati ya [[Uingereza]] na [[Uhindi]] ikaendelea kuchukua utawala juu sehemu kubwa ya nchi hadi kuwa serikali kuu ya maeneo karibu yote ya [[Bara Hindi]] (Uhindi, Pakistan na Bangla Desh ya leo) mpaka mwaka [[1857]].
 
Utawala wa kampuni uliporokoa katia uasi wa wanajeshiaskari Wahindi wa jeshi lake mwaka [[1857]]. Mwaka 1858 mali na madaraka ya kiutawala ya kampuni yalichukuliwa na serikali ya [[Ufalme wa Maungano]] iliyoendelea kutawala Uhindi kama [[koloni]] yake.
 
==Tazama pia:==