Lugha za Kinuristani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kinuristani''' ni jina la kundi la lugha hai zinazotumika hasa katika Afghanistan mashariki na Pakistan magharibi. Kundi hilo lin...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Lugha za Kinuristani''' ni [[jina]] la [[kundi]] la [[lugha hai]] zinazotumika hasa katika [[Nuristani]] ([[Afghanistan]] [[mashariki]]) lakini napia [[Pakistan]] [[magharibi]]. Kundi hilo linaainishwa kama mojawapo kati ya yale ya [[lugha za Kihindi-Kiajemi]], hivyo kati ya kundi kuu la [[lugha za Kihindi-Kiulaya]].
 
Wasemaji wanahesabika kuwa 130,000 hivi.