YHWH : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 47:
|}
 
==Matamshi==אדני
Kwa kuwa jina liliachwa kutajwa, na [[maandishi]] asili hayakuwa na [[vokali]], [[matamshi]] yake sahihi hayajulikani kwa hakika.
 
Hata hivyo, leo [[wataalamu]] wengi wanakubaliana kulitamka Yahweh, si Yehova kama miaka ya nyuma.
 
==Yehova==
Tafsiri kadhaa za Biblia wanaandika jina la YHWH kuwa "Jehovah" au "Yehovah". Asili yake ni kosa la kusoma Biblia ya Kiebrania. Kiasili waandishi wa Kiebrania hawakutumia alama za [[vokali]] na muswada ya kale hazionyeshi vokali. Mnamo karne ya 2 BK, wakati Wayahudi wengi hawakutumia tena Kiebrania kama lugha ya mama, nakala za Biblia zilianza kupewa alama za vokali katika matini. Pale ambako jina YHWH '''יהוה ''' ilitokea, waandishi waliongeza vokali za neno mbadala kwa kukumbuka msomaji asome hilo; maneno mbadala yalikuwa mara nyingi '''אדני ''' (pamoja na vokali zake ''' אֲדֹנָי ''' ''adonay'' - Bwana) au pia '''שםא''' (pamoja na vokali zake ''' שְׁמָא ''' ''shemah'' - Jina).
 
Hii ilileta jina YHWH kuandikwa kwa vokali za אֲדֹנָי '<sub>a</sub>D<sub>o</sub>N<sub>a</sub>Y, tokeo lake lilikuwa Y<sub>a</sub>H<sub>o</sub>W<sub>a</sub>H.
 
Wakati wasomi Wakristo katika [[karne za kati]] walianza kufanya utafiti katika lugha asilia za Biblia, wengine walichukua umbo la Y<sub>a</sub>H<sub>o</sub>W<sub>a</sub>H kama jina halisi wakafundisha hivyo. Kwa njia hii "Jehovah" au "Yehovah" imepata mahali pake katika tafsiri akdhaa, hasa toleo la Kiingereza la [[:en:King James Bible|King James Bible]] iliyoendelea kuwa msingi kwa tafsiri kwa lugha mbalimbali.
 
== Viungo vya nje ==