Nathaniel Mtui : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Nathaniel Mtui''' alikua ni mwanahistoria wa kitanzania mwenye asili ya kichaga. Alizaliwa mnamo mwaka 1892 katika mtaa wa Mshiri huko Marangu, mkoani [...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Nathaniel Mtui''' alikuwa [[mwanahistoria]] wa Tanzania mwenye [[asili]] ya [[Wachagga|Kichagga]].
Alizaliwa mnamo [[mwaka]] [[1892]] katika mtaa wa Mshiri huko [[Marangu]], [[Mkoa wa Kilimanjaro|mkoani]] [[Kilimanjaro]] nchini [[Tanzania]]. Alikuwa [[mwalimu]] kipindi cha [[utawala]] wa kikolini wa [[Wajerumani]] huko [[Marangu]].
Amejulikana kama mtu wa kwanza kuandika kuhusu [[historia]] ya Wachaga kwa [[lugha]] ya [[Kiswahili]], [[Kijerumani]] na [[Kichagga|Kichaga]].<ref>Stahl, Kathleen Mary (1964). History of the Chagga people of Kilimanjaro. Mouton.</ref>
==Marejeo==
<references />
{{mbegu-mtu}}
[[Jamii:Waliozaliwa
[[Jamii:
[[Jamii:Waandishi wa Tanzania]]
|