Kalenda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{Kigezo:Kalenda za Dunia}}
'''Kalenda''' ni utaratibu wa kupanga [[wakati]]. Hupatikana kama orodha ya vipindi vya wakati kama vile [[siku]], [[juma]], [[mwezi]] na [[mwaka]]. Kalenda mbalimbali zimejua pia vipindi vya miaka kadhaa.