Kibarua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '===Kibarua=== Ni moja kati ya aina za kazi lakini ni zile kazi ambazo sio rasimi ni kazi za muda mfupi tu na kipato kinachopatikana ni kwa ajiri ya muda hus...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:02, 10 Januari 2020

Kibarua

Ni moja kati ya aina za kazi lakini ni zile kazi ambazo sio rasimi ni kazi za muda mfupi tu na kipato kinachopatikana ni kwa ajiri ya muda husika. Kwa maana ya kwamba kunatofauti kati ya mfanyakazi na kibarua, ambapo kibarua huwa anapewa posho na mfanyakazi huwa anapewa mshahara.Kwa mfano (day worker) ambaye ndiye kibarua hufanya kazi kwa siku.