Kipato (kutoka kitenzi "kupata"; kwa Kiingereza: income) ni kitu chochote anachopata au malipo anayopewa mtu baada ya kufanya kazi fulani.

Ni lazima kila mmoja awe na kipato chake, haijalishi ni kiasi gani, tena kipato cha mtu ni siri yake mwenyewe.

Hata hivyo watafiti wanajitahidi kujua pato la taifa zima na wastani wa wananchi wake ili kuratibu uchumi n.k.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipato kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.