Tofauti kati ya marekesbisho "Ngonjera"

35 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
(nimeongezea kuhusu mbunifu wa Ngonjera)
No edit summary
'''Ngonjera''' ni aina ya [[mashairi]] ya majibizano baina ya pande / watu wawili (2) au zaidi. Aghalabu mazungumzo hayo huwa na mijadala ya malumbano yenye kusudio la kutoa ujumbe maalumu kwa hadhira au jamii husika. Msemaji mmoja huuliza swali katika ubeti mmoja na mwingine hutoa jibu katika ubeti unaofuata na majibizano ya hoja kuendelea hivyo hadi kukamilisha mada ya mjadala husika. Kutokana na sifa hiyo, ndiyo maana kipera cha ngonjera kinapatikana katika utanzu wa ushairi na katika utanzu wa maagizo. Muundo ni sawa kabisa na mashairi.
 
Aghalabu mazungumzo hayo huwa na mijadala ya malumbano yenye kusudio la kutoa [[ujumbe]] maalumu kwa [[hadhira]] au [[jamii]] husika. Msemaji mmoja huuliza swali katika [[ubeti]] mmoja na mwingine hutoa jibu katika ubeti unaofuata na majibizano ya [[hoja]] kuendelea hivyo hadi kukamilisha mada ya mjadala husika. Kutokana na sifa hiyo, ndiyo maana [[kipera]] cha ngonjera kinapatikana katika [[utanzu]] wa ushairi na katika utanzu wa maagizo.
Aina hii ya mashairi ilibuniwa na mshairi maarufu Tanzania Mathias Mnyampala
 
Aina hii ya mashairi ilibuniwa na mshairi maarufu Tanzania [[Mathias Mnyampala]].
{{mbegu-lugha}}