Jongoo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 14:
* †[[Arthropleuridea]]
}}
'''Majongoo''' ni aina za [[arithropodi]] wembamba na warefu katika [[ngeli]] [[Diplopoda]] ya [[nusufaila]] [[Myriapoda]] wenye [[mguu|miguu]] mingi. Wanafanana kijuujuu na [[tandu]] lakini hawa huenda mbio na hula [[mnyama|wanyama]] wengine (invertebrati na vertebrati). Majongoo huenda polepole na hula [[dutu]] ya [[kiumbehai|viumbehai]], [[kiani (mmea)|viani]] na [[kuvu]].

Hata kama kwa [[Kiingereza]] majongoo huitwa [[w:Millipede|millipedes]] (miguu elfu) kwa [[Kiingerezaelfu]]) na tandu huitwa [[w:Centipede|centipedes]] (miguu [[mia]]), kwa ukweli wana kwa kadiri[[idadi]] nambarikaribu sawa ya miguu: tandu wana miguu 16 hadi 300 na majongoo 36 hadi 750.
 
==Spishi kadhaa za Afrika==
Line 28 ⟶ 30:
Phryssonotus brevicapensis.jpg|Jongoo-nywele wa Mlima wa Meza
Spirostreptus seychellarum Großer Tausendfüßler.jpg|Jongoo panda wa Shelisheli
[[File:Jongoo.jpg|thumb|Majongoo wakijamiiana]]
</gallery>
 
{{mbegu-wanyama}}
[[File:Jongoo.jpg|thumb|Majongoo wakijamiiana]]
[[Jamii:Majongoo]]