Upatanisho wa imani na sayansi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Mtu wa kwanza alitoka wapi hadi Upatanisho wa imani na sayansi: Kupanua mtazamo
No edit summary
Mstari 1:
'''Upatanisho wa imani na sayansi''' ni juhudi zinazofanywa na watu wa [[dini]] mbalimbali kuondoa mzozo uliotokea kati ya [[imani]] na [[sayansi]], hasa kuhusu suala la [[uumbaji]] kuhusiana na [[mageuko ya spishi]]. Juhudi hizo zinaitwa pengine kwa [[Kiingereza]]: ''theistic evolution, theistic evolutionism, evolutionary creationism, divine direction, au God-guided evolution''.
[[File:Comparison of faces of Homo sapiens and Neanderthal.jpg|thumb|upright=1.5|Sura ya ''Homo sapiens'' wa zamani (kushoto) na ya ''Homo neanderthalensis'' (kulia) zinavyoonyeshwa huko [[Neanderthal Museum]].]]
'''Mtu wa kwanza alitoka wapi''' ni swali ambalo wengi wanajiuliza bila kupata jibu la hakika. Kwa namna ya pekee [[wanafunzi]] wa [[shule]] wanapofundishwa katika [[historia]] kuwa [[mtu]] wa kwanza alitokana na [[kiumbehai]] mwenye [[asili]] [[moja]] na [[sokwe]]. Kumbe katika [[dini]] zao wanafundishwa kwamba mtu aliumbwa na [[Mungu]]. Hivyo wanajiuliza, lipi sahihi? Wapo wengi wanaodhani ni lazima kuchagua moja katika ya hayo mawili: ama kwamba mtu ametokana na kiumbehai aliyetangulia ama kwamba Mungu alimuumba mtu wa kwanza kama tulivyo sisi leo.
 
Ieleweke mapema kwamba juhudi hizo hazilengi kutunga au kupitisha [[nadharia]] yoyote katika sayansi, ila kuonyesha uwezekano wa kukubali [[Ukweli|kweli]] zilizothibitishwa na [[utafiti]] wa sayansi pamoja na kweli zilizosadikiwa kwa kupokea [[ufunuo]] wa [[Mwenyezi Mungu]].
Mzozo wa [[uumbaji]]-[[Mageuko ya spishi|mageuko]] unahusisha mjadala unaoendelea na kuendeshwa hata katika [[utamaduni]] na [[siasa]] kuhusu asili ya [[Dunia]], mwanadamu na wengineo. Zamani iliaminika bila shaka kuwa vyote vilivyopo viliumbwa vile vilivyo na vinavyoonekana. Katika enzi za sasa, na haswa baada ya mabadiliko ya [[karne ya 19]], mageuko ya spishi kutokana na uteuzi maalumu unaotenda kazi kiasili katika viumbe au katika makundi ya viumbe yamethibitishwa na [[sayansi]] kuwa ndiyo msingi au chipuko na sababu ya dhati ya [[uhai]] na sifa zinazopatikana katika viumbe hivyo vya sasa au zilizopatikana katika viumbe enzi za kale.
 
==Asili ya suala hilo==
Kwa namna hiyo wapo [[wanasayansi]] wanaopinga [[imani]] na wapo [[wahubiri]] wa dini wanaopinga [[sayansi]]. Kumbe si lazima kuona upinzani kati ya imani na sayansi kwa sababu kila moja inakabili masuala yake kwa namna yake. Yaani sayansi inachunguza [[ulimwengu]] na vyote vilivyomo kwa [[vipimo]] na [[utafiti]] wa kitaalamu, wakati imani inapokea [[ufunuo]] wa Mungu<ref>Pope John Paul II, 3 October 1981 to the Pontifical Academy of Science, [http://www.ewtn.com/library/PAPALDOC/JP2COSM.HTM "Cosmology and Fundamental Physics"]</ref><ref>{{cite web|archiveurl = https://web.archive.org/web/20050312083948/http://www.uwosh.edu/colleges/cols/religion_science_collaboration.htm |title = An Open Letter Concerning Religion and Science|archivedate = 12 March 2005|publisher = University of Wisconsin Oshkosh|url = http://www.uwosh.edu/colleges/cols/religion_science_collaboration.htm}}</ref><ref>{{cite book | last=Glover | first=Gordon J. | year=2007 | title=Beyond the Firmament: Understanding Science and the Theology of Creation | location= Chesapeake, VA| publisher=Watertree | isbn=978-0-9787186-1-9 }}</ref>.
Mzozo wa [[uumbaji]]-[[Mageuko ya spishi|mageuko]] unahusisha mjadala unaoendelea na kuendeshwa hata katika [[utamaduni]] na [[siasa]] kuhusu [[asili]] ya [[Dunia]], mwanadamu na wengineo. Zamani iliaminika bila shaka kuwa vyote vilivyopo viliumbwa vile vilivyo na vinavyoonekana. Katika enzi za sasa, na haswa baada ya mabadiliko ya [[karne ya 19]], mageuko ya spishi kutokana na uteuzi maalumu unaotenda kazi kiasili katika viumbe au katika makundi ya viumbe yamethibitishwa na [[sayansi]] kuwa ndiyo msingi au chipuko na sababu ya dhati ya [[uhai]] na sifa zinazopatikana katika viumbe hivyo vya sasa au zilizopatikana katika viumbe enzi za kale. Kwa namna hiyo wapo [[wanasayansi]] wanaopinga [[imani]] na wapo [[wahubiri]] wa dini wanaopinga [[sayansi]].
 
KwaKumbe namnawatetezi hiyowa wapoupatanisho [[wanasayansi]]wa wanaopinga [[imani]] na wapo [[wahubiri]] wa dini wanaopinga [[sayansi]]. Kumbewanaona si lazima kuonauwepo upinzani kati ya imanihizo na sayansimbili kwa sababu kila moja inakabili masuala yake kwa namna yake. Yaani sayansi inachunguza [[ulimwengu]] na vyote vilivyomo kwa [[vipimo]] na [[utafiti]] wa kitaalamu, wakati imani inapokeainataka kupokea [[ufunuo]] wa Mungu ambao hauwezi kukanusha ukweli wowote<ref>Pope John Paul II, 3 October 1981 to the Pontifical Academy of Science, [http://www.ewtn.com/library/PAPALDOC/JP2COSM.HTM "Cosmology and Fundamental Physics"]</ref><ref>{{cite web|archiveurl = https://web.archive.org/web/20050312083948/http://www.uwosh.edu/colleges/cols/religion_science_collaboration.htm |title = An Open Letter Concerning Religion and Science|archivedate = 12 March 2005|publisher = University of Wisconsin Oshkosh|url = http://www.uwosh.edu/colleges/cols/religion_science_collaboration.htm}}</ref><ref>{{cite book | last=Glover | first=Gordon J. | year=2007 | title=Beyond the Firmament: Understanding Science and the Theology of Creation | location= Chesapeake, VA| publisher=Watertree | isbn=978-0-9787186-1-9 }}</ref>. [[File:Comparison of faces of Homo sapiens and Neanderthal.jpg|thumb|upright=1.5|Sura ya ''Homo sapiens'' wa zamani (kushoto) na ya ''Homo neanderthalensis'' (kulia) zinavyoonyeshwa huko [[Neanderthal Museum]].]]
==Katika sayansi==
==Suala linavyojitokeza kwa kawaida==
'''Mtu wa kwanza alitoka wapi''' ni swali ambalo wengi wanajiuliza bila kupata jibu la hakika. Kwa namna ya pekee [[wanafunzi]] wa [[shule]] wanapofundishwa katika [[historia]] kuwa [[mtu]] wa kwanza alitokana na [[kiumbehai]] mwenye [[asili]] [[moja]] na [[sokwe]]. Kumbe katika [[dini]] zao wanafundishwa kwamba mtu aliumbwa na [[Mungu]]. Hivyo wanajiuliza, lipi sahihi? Wapo wengi wanaodhani ni lazima kuchagua moja katika ya hayo mawili: ama kwamba mtu ametokana na kiumbehai aliyetangulia ama kwamba Mungu alimuumba mtu wa kwanza kama tulivyo sisi leo.
 
===Katika sayansi===
Sayansi imechunguza viumbehai waliopo [[duniani]] sasa na mabaki ya wale waliokuwepo zamani. Hasa baada ya kugundua [[DNA]] imeweza kuona uhusiano kati ya hao viumbehai mbalimbali. Hivyo imethibitisha kwamba [[mwili]] wa [[binadamu]] na ule wa sokwe imetokana na kiumbehai wa zamani (miaka [[milioni]] 5 au zaidi iliyopita) katika mlolongo wa [[mageuko ya spishi]]. Lakini sayansi haiwezi kusema kitu juu ya [[roho]], kwa sababu si [[mata]], hivyo haipimiki. Zaidi sana haiwezi kusema lolote juu ya Mungu na [[kazi]] yake, kwa sababu si wa ulimwengu huu.
 
===Katika imani na dini===
Tofauti na [[itikadi kali]] katika dini, kuna mitazamo inayolenga kujumuisha au kupatanisha fikira kutoka maeneo haya mawili, yaani imani na sayansi.
Ni kwamba wanaomuamini Mungu kama [[muumba]] wa vitu vyote, vinavyoonekana na visivyoonekana, si lazima wasadiki kwamba aliviumba vyote kama vilivyo sasa<ref name=collins-def>{{cite journal|doi= 10.1038/442110a|pmid= 16837980|title= Building bridges|year= 2006|journal= Nature|volume= 442|issue= 7099|page= 110}}</ref><ref>Stipe, Claude E., "Scientific Creationism and Evangelical Christianity", ''American Anthropologist'', New Series, Vol. 87, No. 1 (Mar., 1985), p. 149, Wiley on behalf of the American Anthropological Association, [https://www.jstor.org/stable/677678 JSTOR]</ref><ref>{{cite book |last1=Collins |first1=Francis S. |title=The Language of God |url=https://archive.org/details/languageofgod00fran |url-access=registration |date=2007 |publisher=Free Press |location=New York |page=[https://archive.org/details/languageofgod00fran/page/200 200]}}</ref>. La sivyo wangeshindwa kueleza kwa nini watu wa leo wametofuatiana hivi kati yao, wakati wanaaminika wote kuwa [[watoto]] wa [[Adamu]] na [[Eva]]. Mabadiliko yaliweza kutokea kadiri ya [[maisha]] na [[mazingira]] yao, na bado yanazidi kutokea: kwa mfano leo watoto wanakuwa warefu zaidi.
Line 19 ⟶ 23:
Kwa nini baadhi ya wanasayansi hawaamini kuwa Mungu yupo? Hiyo inatokea kwa sababu sayansi ni ndogo sana kuliko Mungu na haiwezi kuchunguza kila kitu na kupata jibu la moja kwa moja kwa sababu sayansi inapaswa kuthibitisha ujuzi yake kwa kupitia majaribio ya kisayansi. Mungu aliwapa wanasayansi [[akili]] na masikio ya kusikia lakini hawawezi kujua maarifa yote ya Mungu. Yeye ametupa akili za kiasi zisizoweza kumchunguza Mungu zikammaliza.
 
===Katika falsafa===
Kuna wakati ni vigumu kulinganisha sayansi na dini. Dini inamhusu Mungu ambaye ndiye Mwanzo wa vitu vyote. [[Mwanafalsafa]] [[Emmanuel Kant]] alisema kinachoanza ni kitu kisichoonekana, na ndicho kinasababisha kitu cha wazi kutokea. Kama ni hivyo basi, sayansi na dini ni vitu viwili tofauti, ingawa vina uhusiano kama vile [[baba]] na [[mama]] ni watu wawili tofauti ingawa wanahusiana.
 
Line 55 ⟶ 59:
 
==Viungo vya nje==
<!--======================== {{No more links}} ============================
| PLEASE BE CAUTIOUS IN ADDING MORE LINKS TO THIS ARTICLE. Wikipedia |
| is not a collection of links nor should it be used for advertising. |
| |
| Excessive or inappropriate links WILL BE DELETED. |
| See [[Wikipedia:External links]] & [[Wikipedia:Spam]] for details. |
| |
| If there are already plentiful links, please propose additions or |
| replacements on this article's discussion page, or submit your link |
| to the relevant category at the Open Directory Project (dmoz.org) |
| and link back to that category using the {{dmoz}} template. |
======================= {{No more links}} =============================-->
* [http://biologos.org/uploads/projects/Lamoureux_Scholarly_Essay.pdf Evolutionary Creation: A Christian Approach to Evolution] by [[Denis Lamoureux]] ([[St. Joseph's College, Edmonton]])
* [http://atheism.about.com/od/creationismcreationists/p/theistic.htm About: Agnosticism/Atheism on 'Theistic Evolution & Evolutionary Creationism'] by Austin Cline; overview of various viewpoints
Line 79 ⟶ 71:
* [http://humanorigins.si.edu/evidence/human-evolution-timeline-interactive Human Timeline (Interactive)] – [[Smithsonian Institution|Smithsonian]], [[National Museum of Natural History]] (August 2016).
 
===Taasisi za kutetea ulinganishajiupatanisho wa imani na sayansi===
*[http://www.talkorigins.org/faqs/faq-god.html God and Evolution] at the [[TalkOrigins Archive]]
*[http://www.theisticevolution.org/ Perspectives on Theistic Evolution] An examination of both the theological and scientific aspects of theistic evolution.
*[http://www.uwosh.edu/colleges/cols/clergy_project.htm The "Clergy Letter" Project] signed by thousands of clergy supporting evolution and faith
 
{{mbegu-historiadini}}
 
[[Jamii:Dini]]