Kinyaturu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuondoa kiungo kitupu cha llmap using AWB
2006,lugha
Mstari 1:
'''Kinyaturu''' ( pia huitwa ''Kirimi'') ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Tanzania]] inayozungumzwa na [[Wanyaturu]]. Mwaka wa [[2006]] idadi ya wasemaji wa Kinyaturu imehesabiwa kuwa watu 595,000. Kufuatana na uainishaji wa [[lugha]] za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kinyaturu iko katika kundi la F30.
 
==Viungo vya nje==