Kisotho-Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
2006,lugha
 
Mstari 1:
'''Kisotho-Kusini''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Afrika Kusini]] inayozungumzwa na [[Wasotho]]. Mwaka wa [[2006]] idadi ya wasemaji wa Kisotho-Kusini nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 4,240,000. Kufuatana na uainishaji wa [[lugha]] za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kisotho-Kusini iko katika kundi la S30.
 
== Viungo vya nje ==