Isaac Newton : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Isaac Newton" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
Mstari 5:
Anakumbukwa [[duniani]] kote kutokana na michango yake mbalimbali katika [[sayansi]].
 
Ndiye aliyegundua [[tawi]] la [[kalkulasi]] (sambamba na [[Gottfried Leibniz|Leibniz]]), [[nadhariasheria yaza mwendo]] na ya [[uvutano]] (graviti).
 
Mchango mwingine wa Isaac Newton upo katika [[nadharia ya mwanga]], akitumia [[prisma]] kuonyesha jinsi [[rangi]] zinazounda mwanga (kama zinazoonekana kwenye [[upinde wa mvua ]]zinavyotokea.
 
Alichangia pia [[astronomia]] kwa kuboresha [[darubini ya kuakisia]](darubini akisi) iliyoleta matokeo mazuri. Alitambua ya kwamba kanuni za mvutano zinatawala pia mwendo wa [[sayari]]. Alitunga [[ramani ya nyota]] kufuatana na tafiti za [[Flamsteed]].
 
Newton alipata [[shahada]] yake ya kwanza mwaka [[1665]] na ile ya [[uzamili]] mwaka [[1668]].
Mstari 15:
Alizaliwa katika [[familia]] ya [[Anglikana|Kianglikana]] akatumia [[muda]] mwingi kufanya [[utafiti]] wa [[Biblia]] na [[theolojia]]. Alilenga kupatanisha [[elimu]] ya [[sayansi]] na [[imani]] yake. Aliandika "Graviti inaeleza miendo ya sayari lakini haiwezi kueleza ni nani aliyeanzisha miendo yao. [[Mungu]] anatawala mambo yote na yaliyopo na yanayoweza kuwepo".
 
[[Tarehe]] [[10 Desemba]] [[1682]] alimuandikia [[Richard Bentley]]: «Siamini [[ulimwengu]] unaweza kuelezwa na sababu za [[maumbile]] tu, bali nalazimika kuuona kama [[tunda]] la [[hekima]] na [[ubunifu]] vya mmoja mwenye [[akili]]». Hata hivyo, yeye binafsi hakukubali mafundisho juu ya [[Utatu]] wa [[Mungu]].
 
==Maandishi yake==