Bujumbura : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Zenman (majadiliano | michango)
coord fixed
Mstari 30:
 
==Vivutio==
Katika mji huo kuna [[Jengo|majengo]] ni yale ya [[kikoloni]] na pia kuna [[soko]], [[uwanja wa taifa]], [[mskitimsikiti]] mkubwa na [[Kanisa kuu]]. Pia kuna [[Jumba la Makumbusho]] ambalo linaitwa jumba la makumbusho ya maisha na jumba la makumbusho ya jiologia.
 
Mambo mengine ya kuchangamsha ni kama [[Hifadhi ya Rusizi]], na [[Kiamba (Jiologia)|Kiamba]] hapo [[Mugere]], ambapo panasemekana kwamba [[David Livingstone]] na [[Henry Stanley]] walikutana. (Lakini watu wengi wasema walikutana [[Ujiji]]), [[Kigoma]], nchini [[Tanzania]] ambapo panasemekana ni [[mwanzo]] wa mto unaosemekana kuwa ndio mwanzo wa [[Mto Nile]]).