Content deleted Content added
Mstari 650:
==[[Hemp]]==
Naomba uangalie makala ya [[Hemp]], pamoja na [[katani]]. Hemp imeletwa sasa na mgeni; kwa Kiingereza kuna makala tofauti kwa [[:en:Cannabis]] na [[:en:Hemp]]. Makala yetu ya katani ilianzishwa na kijana ambaye alichangya na mkonge. Kamusi ya Mada ya 1905 (kabla ya kusambaa kwa mkonge) inasema "*Katani, n. also Kitani, flax, and what is made from it, linen, string, strong thread, twine. ''Uzi wa k'', thread made of flax or hemp, as dist. from ''uzi wa pamba'', cotton thread. (Ar. Cf. uzi, ugwe, kigwe, kamba.)" So should we have [[mkatani]] as separate entry (now wrongly redirect) - but then it is not clear to me if it is flax or hemp? '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 05:19, 3 Julai 2020 (UTC)
:Kipala salaam. Nadhani mchangiaji wa Hemp alitaka kuandika kuhusu aina za bangi zinazokuzwa ili kuzalisha nyuzi. Hiyo ni sawa kwangu, lakini anapaswa kutumia jina la Kiswahili. Nilipendekeza mbangi-mwitu kama tafsiri ya Cannabis sativa, lakini labda jina hili si zuri sana. Nitafikiria tena na kwa wakati huu niko wazi kwa maoni.
:Suala la katani / kitani ni utata. Nadhani ni kweli neno moja, lakini siwezi kujua ni gani iliyokuja kwanza. Sina hakika kama ka- / ki- ni viambishi. Kwa hali yoyote, kuna majina kiasi ya mimea ya Kiswahili ambayo huanza na mki-, kwa hivyo mkatani na mkitani yangekuwa majina yanayokubalika. Nadharia tete yangu ni kwamba neno hilo lilitumiwa hapo awali kwa nyuzi za mimea kwa jumla, ingawa sijapata ushahidi madhubuti kwa hilo. Kwa vyovyote vile, utafiti wangu wa kwanza ulikuja na katani kwa hemp (mara nyingi sisal hemp lakini cannabis hemp pia) na kitani kwa flax. Leo nilichambua idadi kadhaa ya sentensi za Kiswahili zilizo na mojawapo la maneno haya. Isipokuwa visa vichache sana, katani ilitumika kwa hemp (pamoja na sisal tena) na kitani kwa flax. Kwa hivyo, tunaenda wapi kutoka hapa? Tunaweza kukubali kuwa katani hutumiwa kwa hemp na sisal pamoja au tunape kipaumbele matumizi yake kwa sisal na tunapendelea aina ya bangi kwa hemp. Unafikiria nini? '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo#top|majadiliano]])''' 16:45, 3 Julai 2020 (UTC)