Moruroa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Moruroa''' ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha Tureia. Eneo la kisiwa n...'
 
+image #WPWP #WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha: Moruroa atoll.JPG|thumbnail|right|280px|Kisiwa cha Moruroa]]
'''Moruroa''' ni kisiwa cha [[Polinesia ya Kifaransa]] ndani ya [[funguvisiwa]] ya [[Tuamotu]]. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha [[Tureia]]. Eneo la kisiwa ni 15 [[kilomita ya mraba|km²]]. Wakati wa sensa mwaka wa 2012, hakuna watu wakaao kisiwani kwa Moruroa, sababu yake kwamba kati ya 1966 na 1996, Wafaransa walitumia kisiwa cha Moruroa kama mahali pa jaribio kwa [[bomu la nyuklia]].