Daniel Narcis Mloka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Daniel Narcis Mloka''' ([[29 Desemba]] [[1938]] - [[22 Machi]] [[1994]]) alikuwa [[balozi]] wa [[Tanzania]] nchini Uswidi kati ya [[mwaka]] [[1983]] hadi mwaka [[1989]] pia alikuwa balozi nchini [[Kanada]].
 
Akiwa mdogo wa [[mwandishi]] mashuhuri wa [[mashairi]] nchini Tanzania, [[Joseph Narcis Mloka]], Danieli Mloka naye alikuwa [[mwandishi]] wa [[vitabu]] na mshairi na aliandika [[riwaya]] maarufu [[Baharia Bila Meli]], [[Oparesheni Pata potea]] na kitabu kingine katika [[lugha]] ya [[Kiingereza]] cha ''The Cocktail''.
 
==Marejeo==