Majadiliano ya Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 7:
Kabla ya kuitagangaza hatua hii naomba tuelewane kwanza kati yetu kuhusu mambo mawili
 
'''1. Nani atapiga kura kati ya wanawikipedia? '''
 
Pendekezo langu:
* a) Mwenye kura awe aliyewahi '''kuandikishwa tangu mwezi 1''' (hatutaki waliojiandikisha jana kwa kumpiga kura rafiki leo)
* b) aliyewahi '''kuhariri makala 3 kwenye swwiki''' (nje ya ukurasa wake mwenyewe; hatukubali watu walioingia kwa kutunga/kusahihisha makala 1 pekee)
* c) aliyehariri '''katika miezi 12 kabla ya kura''' yetu
 
Zamani tulikuwa wachache sana lakini siku hizi idadi ya waliojiandikisha imeongezeka ingawa wengi hawafanyi kitu tena, kwa hiyo tuelewane.
 
2. '''Kuhusu orodha ya wakabidhi''' kuna matatizo mawili:
a) '''tunaendelea kutunza majina''' ya wengine ambao ama hawakushiriki kabisa tangu miaka, au hawakushiriki katika shughuli za usimamizi.
(hapa nitamwandikia kila mmoja na kumwuliza kama yuko tayari kutekeleza '''shughuli za admin''': kupitia mara kwa mara ukurasa wa Mabadiliko ya Karibuni, kuangalia makala mpya na mabadiliko, kufuta spam dhahiri, kupeleka makala zisizofaa kwenye ukurasa wa ufutaji, kushiriki katika ufutaji, kukaribisha wageni)
LAKINI tunahitaji watu zaidi walio tayari kufanya kazi hii
 
b) '''tuelewane nipeleke swali namna gani:'''
* '''ama tufute tu''' wale wasioshiriki tena '''na kuchagua wapya''' wa nyongeza (wale wanaofanya kazi waendelee tu)
* '''AU tufanye uchaguzi mpya kwa wote .''' Jambo hili si dhahiri na miradi ya wikipedia ziko tofautizinatofautiana hapa.
 
Naomba majibu kwenye ukurasa wa majadiliano ya wakabidhi. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 18:17, 23 Agosti 2020 (UTC)
Rudi kwenye ukurasa wa mradi " Wakabidhi ".