Emmanuel Makaidi : Tofauti kati ya masahihisho

Mwanasiasa wa Tanzania
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Emmanuel Makaidi''' (Aprili 10, 1941 - Oktoba 15, 2015) alikuwa ni mwanasiasa wa chama cha upinzania nchini Tanzania na mwenyekiti wa...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:58, 10 Septemba 2020

Emmanuel Makaidi (Aprili 10, 1941 - Oktoba 15, 2015) alikuwa ni mwanasiasa wa chama cha upinzania nchini Tanzania na mwenyekiti wa chama cha National League for Democracy (NLD).

Tarehe 14 Desemba 2005 aligombea uraisi kwa tiketi ya NLD na kuambulia asilimia 0.19 ya kura alizopata. Alifariki dunia mkoani Lindi mwaka 2015 kwa ugonjwa wa kiharusi .[1] [2]

Marejeo

  1. "Zambia: 13 Presidents to Attend Kikwete's Swearing-in", AllAfrica.com, 21 December 2005. Retrieved on 25 November 2009. 
  2. "Mwenyekiti wa NLD, Dk Emmanuel Makaidi amefariki". www.mwananchi.co.tz. Iliwekwa mnamo 2015-10-15. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emmanuel Makaidi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.