United People's Democratic Party : Tofauti kati ya masahihisho

Chama cha Siasa nchini Tanzania
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''United People's Democratic Party (UPDP)''' ni chama cha siasa nchini Tanzania kilichosajiliwa rasmi tarehe 4 Februari 1993 Katika Uchaguzi...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 15:12, 10 Septemba 2020

United People's Democratic Party (UPDP) ni chama cha siasa nchini Tanzania kilichosajiliwa rasmi tarehe 4 Februari 1993

Katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 chama hakikumsimamisha mgombea wa kiti cha uraisi na badala yake kilimuunga mkono mgombea mwingine wa chama cha National Convention for Construction and Reform-Mageuzi (NCCR-MAGEUZI). kilichomsimamisha Sengondo Mvungi ambae alipata asilimia 0.49% ya kura zote

Katika uchaguzi wa mwaka 2015 kilimsimamisha Fahmi Dovutwa kama mgombea wao.[1]

Marejeo

  1. "Dovutwa survives road accident", Daily News, 25 October 2015.