Bah Ndaw : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Bah Ndaw''' (pia imeandikwa '''N'Daw''', '''N'Dah''', na '''N'Daou'''; alizaliwa 23 Agosti 1950) ni afisa wa jeshi la Mali na mwanasiasa. Ametumikia...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:01, 28 Septemba 2020

Bah Ndaw (pia imeandikwa N'Daw, N'Dah, na N'Daou; alizaliwa 23 Agosti 1950) ni afisa wa jeshi la Mali na mwanasiasa. Ametumikia kama Rais wa Mali tangu 25 Septemba 2020. Kati ya Mei 2014 na Januari 2015, alikuwa Waziri wa Ulinzi.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bah Ndaw kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.