Wasabato : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary |
||
Mstari 3:
Kati ya [[madhehebu]] ya namna hiyo, maarufu zaidi ni [[Waadventista Wasabato]] ambao wamefikia kuwa [[milioni]] 17 [[duniani]] kote. Waadventista wa Sabato wanaamini katika Sabato kuwa ndilo pumziko pekee alilopumzika [[Mwenyezi Mungu]] ([[Mwanzo]] 2:2-3). Mara baada ya kuitakasa siku aliyopumzika alitoa agizo la kukumbukuka, kuheshimu na kuenzi siku hiyo ili iwe ukumbusho na [[agano]] la [[wanadamu]] na Mungu kama wanavyoamini Wasabato.
{{mbegu-Ukristo}}
|