Abdullah Gül : Tofauti kati ya masahihisho

Raisi wa 11 wa Uturuki
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb '''Abdullah Gül''' (amezaliwa 29 Oktoba 1950) ni mwanasiasa wa Uturuki ambaye aliwahi kuwa...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 04:34, 3 Novemba 2020

Abdullah Gül (amezaliwa 29 Oktoba 1950) ni mwanasiasa wa Uturuki ambaye aliwahi kuwa Rais wa 11 wa Uturuki, ofisini kutoka 2007 hadi 2014. Aliwahi kutumikia kwa miezi minne kama Waziri Mkuu kutoka 2002 hadi 2003.