Moluska : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza sanduku la uainishaji
No edit summary
Mstari 20:
* [[Scaphopoda]]
}}
'''Moluska''' ni [[mnyama|wanyama]] wasio na [[mfupa|mifupa]] ambao wanaishi zaidi [[Maji|majini]], ambamo ni [[asilimia]] 23 za wanyama wote [[Uainishaji wa kisayansi|walioainishwa]]. Lakini wengine wanaishi katika [[nchi kavu]], kama vile [[konokono]] wengi. Baharini wako pia kama [[kome]] na [[chaza]].
 
Siku hizi kuna [[spishi]] 85,000 za wanyama hao, nazo ni tofauti sana. Spishi nyingine zimekoma.