Kigezo:Picha ya wiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d [[ ]]
Mstari 2:
[[Picha:Cheetah (Acinonyx jubatus) cub.jpg|200px|Duma]]
</div>
'''[[Duma]]''' ni [[mnyama mbuai]] aliyemo katika [[jamii]] ya [[paka]] ([[Felinae]]). [[Chakula]] chake ni wanyama jamii ya [[swala]] hupatikana [[Afrika]] na kidogo sehemu za [[Asia]].
 
[[Kichwa]] chake ni kidogo zaidi ukilinganisha na wanyama wengine wa jamii yake kama [[chui]]. Duma anatofautiana na chui pia kwa sehemu ya [[mgongo]] na sehemu ya [[Macho|machoni]]: mgongo wa duma huwa kama [[alama]] ya "S", tofauti na mgongo wa chui. [[Jicho|Macho]] ya duma yana weusi mkali ukilinganisha na chui.