Content deleted Content added
Mstari 83:
==Matangazo ya Kivietnam==
Ulimwandikia [[Majadiliano ya mtumiaji:Tylekeoso]] salamu nzuri. Alijaza ukurasa wake kwa matini ya Kivietnam. Hao tumeshaona mara nyingi. Unaweza kuweka yaliyomo katika google translate Kivietnam-Kiingereza utaona ni matangazo ya kibiashara tu. Riccardo na mimi tumezoea kufuta kurasa hizi moja kwa moja na kuzuia akaunti za wachangiaji. Hao si watu waliokosa kupeleka habari kwetu; nadhani ni programu zinazotafuta nafasi kwenye intaneti kusambaza matangazo ya kibiashara. Sijafuatalia sijui kama programu zimewekwa hasa kutushambulia sisi lakini nahisi wanajaribu kote duniani. Kwa hiyo usisite kufuta na kubana. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 11:30, 8 Desemba 2020 (UTC)
 
.Asante kwataarifa, binafsi nilifikiri ni mtumiaji tuu mwenzetu maana nimeona amekaribishwa vizuri kabisa.
.Sambamba na hilo kuna huyu mtumiaji anaitwa Alex kutoka Autria nimeona makala zake chache anatumia google translator moja kwa moja nakupakia matini kwenye swwiki nilivo mfuatilia anasema anajifunza kiswahili, sasa nafikiri kumtafutia mbadala wa kukutana na wewe inawezekana? '''[[Mtumiaji:Olimasy|Olimasy]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Olimasy#top|majadiliano]])''' 11:52, 8 Desemba 2020 (UTC)