Melanesia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kunyosha lugha kidogo
d marekebisho ya kisarufi
Mstari 2:
[[Picha:Feuerreiben.gif|thumb|right|Mwenyeji wa Vanuatu awafundisha watoto kutengeneza moto]]
 
'''Melanesia''' ni eneo la [[Bahari ya Pasifiki]] kaskazini yamwa [[Australia]]. Ni moja kati ya makundi makubwa matatu ya visiwa vya Pasifiki pamoja na [[Mikronesia]] na [[Polynesia]].
 
Jina lake limeundwa na maneno ya [[Kigiriki]] ya μέλας ''cheusi'' na νῆσος ''kisiwa'' yaani "visiwa vyeusi" au zaidi "Visiwa vya Weusi". Nahodha Mfaransa [[Jules Dumont d'Urville]] alitunga jina hili mwaka 1832 akitaka kutaja wakazi wazalendo waliokuwa na rangi nyeusi-nyeusi.
 
== Watu na utamaduni ==