Yoweri Kaguta Museveni : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Kura zitapigwa januari 2021.je nani atashinda Tag: Reverted |
d Masahihisho aliyefanya 105.160.70.238 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni Tag: Rollback |
||
Mstari 4:
Kwa muda mrefu, kabla ya kuwa [[rais]] wa Uganda, Museveni aliongoza vita vya msituni dhidi ya serikali za [[Idd Amin]] aliyetawala toka mwaka 1971-79, na serikali ya [[Milton Obote]] aliyekuwa madarakani mwaka 1980-85.
Kutokana na mafanikio ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa [[Ukimwi]] na kukubali kwake kufuata sera za [[Benki ya Dunia]] na [[Shirika la Fedha Duniani]], Museveni alipata sifa kubwa toka kwa viongozi wa mataifa ya Magharibi.
Hata hivyo uongozi wake umetiwa dosari na mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na ushiriki wake katika vita vya wenyewe kwa wenyewe katika [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] na [[Rwanda]]. Mambo mengine ni pamoja na ukiukwaji wa haki za kisiasa unaofanywa na serikali yake dhidi ya wapinzani kama vile [[Kizza Besigye]] na kitendo cha kubadili [[katiba]] ya nchi hiyo ili aweze kugombea urais mwaka 2006.
Alichagua [[Pico Taro]] (mwanamuziki wa Kijapani) kama balozi wa utalii wa Uganda mnamo Oktoba 6, 2017.
== Viungo vya nje ==
* [http://www.statehouse.go.ug/ Tovuti ya Ikulu ya Uganda]
{{Mbegu-mwanasiasa}}
{{BD|1944|}}
[[Jamii:Marais wa Uganda]]
[[Jamii:Watu wa Uganda]]
|