Utamaduni wa Nok : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Nok culture"
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:31, 11 Januari 2021

Utamaduni wa Nok ulikuwa ustaarabu wa kale katika maeneo ya Nigeria ya kisasa. Ulitokea mnamo mwaka 1000 KK na kutoweka mnamo 300 BK.

Eneo ambalo masalio ya utamaduni wa Nok yamepatikana katika Nigeria
Sanamu ya Nok, terakota, Louvre

Ustaarabu huo ulitabuliwa kutokana na mabaki yake ya kiakolojia katika kaskazini na katikati mwa Nigeria. Mfumo wake wa kijamii unadhaniwa kuwa umeendelea sana kwa wakati wake. Wasanii wa Nok wanaaminiwa kuwa wazalishaji wa kwanza wa sanamu ukubwa wa maisha za terakota katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara . Wataalamu wamependekeza kuwa watu wa Nok walikuwa watangulizi wa Wayoruba wa leo. [1] [2] Walitumia chuma katika zana za kuyeyusha na kughushi kuanzia angalau mwaka 550 KK, na labda mapema. [3] [4] [5]

Marejeo

  1. Chambers Encyclopaedia New Revised Edition, vol. 10, p 40, International Learning Systems Corporation Ltd London
  2. The New Universal Library, vol. 14, p 456. The Caxton Publishing Company London
  3. Jared Diamond, 'Guns, Germs, and Steel: The Fates of Human Societies' (1997) Chapter 19
  4. Duncan E. Miller and N.J. Van Der Merwe, 'Early Metal Working in Sub Saharan Africa' Journal of African History 35 (1994) 1-36
  5. Minze Stuiver and N.J. Van Der Merwe, 'Radiocarbon Chronology of the Iron Age in Sub-Saharan Africa' Current Anthropology 1968. Tylecote 1975 (see below)