Wikipedia:Makala kwa ufutaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 300:
Je, ni maarufu kweli? --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 07:13, 3 Januari 2021 (UTC)
*'''Ibaki''' Mtu huyu ni maarufu, Mkurugenzi uwekezaji wa kampuni ya Gsm, lakini pia ni mkuu wa uwekezaji na usajiri wa ndani ya timu ya yanga. Pia huyu ndie alijenga jengo la upasuaji la mwananyamala, na msikiti wa Kinondoni. Lakini pia ni mfanya biashara ni mmoja wa wamiliki wa wamiliki wa hotel ya White sand hotel na kupitia uhandisi ndie aliekua mwandisi mkuu wakati wa ujenzi wa uwanja wa Taifa wa mpira. Kwa hivo nin shauri makala hii ibaki na ifanyiwe marekebisho. '''[[Mtumiaji:4realtz|4realtz]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:4realtz|majadiliano]])''' 08:09, 4 Januari 2021 (UTC)
 
==[[Wachagga#Maoni_juu_ya_Wachagga]] ==
Sioni msingi kubaki na kifungu hiki. Hakuna ushahidi wowote, na kwa mkusanyiko wa maoni ambayo mchangiaji alibahatika kusikia, ni ndefu mno. Tunakosa habari za kimsingi kuhusu kundi hilo, lakini matini ndefu ya udaka kuhusu kundi hili. Ifutwe. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 19:46, 15 Januari 2021 (UTC)