Capoeira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
#WPWP #WPWPTZ
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
Mstari 2:
'''Capoeira''' ni [[mchezo]] wa kujihami kwa kutumia mateke wenye [[asili]] katika nchi ya [[Brazili]]. Ni mchezo ambao huchezwa kwa [[sarakasi]], [[ngoma]] na [[muziki]] <ref>{{Cite web|title=Disguised in Dance: The Secret History of Capoeira|url=https://theculturetrip.com/south-america/brazil/articles/disguised-in-dance-the-secret-history-of-capoeira/|work=Culture Trip|accessdate=2020-02-25|author=Andrew Kingsford-Smith}}</ref>.
 
Mchezo huo ulianzishwa katika [[karne ya 16]] na [[watumwa]] kutoka [[Afrika]] ambao wengi wao walikuwa wanatokea katika nchi ya [[Angola]] na <ref>{{Cite web|title=What is Capoeira?|url=https://www.capoeira-world.com/about-capoeira/what-is-capoeira/|work=Capoeira-World.com|accessdate=2020-02-25|language=en-US|author=c9cwu|archiveurl=https://web.archive.org/web/20200225084252/https://www.capoeira-world.com/about-capoeira/what-is-capoeira/|archivedate=2020-02-25}}</ref> katika kipindi cha mwanzo mchezo huo ulikuwa ukionekana kama [[sarakasi]] za kawaida ikawa vigumu kwa [[wakoloni]] kugundua kuwa watumwa hao walikuwa wakifanya [[Mazoezi ya mwili|mazoezi]] ya mapigano.
 
==Tanbihi==