United African Alliance Community Center : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''United African Alliance Community Center''' (kwa kifupi UAACC) ni [[shirika lisilo la kiserikali]] lililopo mkoani [[Arusha]] <ref>https://www.theculturesupplier.com/culture-supplier-news/the-leader-of-tomorrow-with-paint-the-globe-foundation/</ref>. Shirika hilo lilianzishwa [[mwaka]] [[1991]] <ref>https://www.uaacc.net/about_us</ref> na [[Pete O'Neal]] pamoja na [[mke]] wake [[Charlotte Hill O'Neal]] kwa malengo ya kuwasaidia [[watoto]] pamoja kuendeleza [[utamaduni]].
 
Shirika hilo linapatikana katika [[wilaya ya Arumeru]], nje kidogo ya [[Mji|mji mdogo]] wa [[Usa River]] na [[wanafunzi]] ndani ya kituo hiki hujifunza [[sanaa]], [[kompyuta]], [[ufundi]] pamoja na [[lugha]] ya [[Kiingereza]] na [[elimu]] hizo hutolewa bila ya malipo <ref>https://www.ebony.com/news/black-panther-reveals-40-year-work-in-tanzania/</ref>
 
==Tanbihi==