Gwendolyn Brooks : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+Gwendolyn-Brooks_02a.jpg #WPWP #WPWPTZ
Removing Gwendolyn-Brooks_02a.jpg, it has been deleted from Commons by Infrogmation because: Copyright violation; see c:Commons:Licensing (F1): false license.
Mstari 1:
[[picha:Gwendolyn-Brooks_02a.jpg|thumbnail|right|200px|Gwendolyn Brooks]]
'''Gwendolyn Elizabeth Brooks''' ([[7 Juni]] [[1917]] – [[3 Desemba]] [[2000]]) alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya [[Marekani]]. Mwaka wa [[1949]], alipokea '''[[Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi]]''' kwa mashairi yake. Alikuwa Mwafrika-Mmarekani wa kwanza kupokea tuzo hiyo.