Brandi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Brandy hadi Brandi
Mstari 9:
Kufuatana na sheria za Umoja wa Ulaya "brandy" inapaswa kutengenezwa kutoka [[divai]] pekee ikiiva baadaye katika mapipa ya ubao. Inaruhusiwa kuongeza sukari. Aina mashuhuri za brandi za divai ni kama vile Cognac (tamka ''kon-yak'', ni asili ya jina la Kiswahili [[konyagi]]) na Armagnac kutoka [[Ufaransa]], Brandy de Jerez kutoka [[Hispania]].
 
Nchi zote zinazotengeneza divai zinajua pia brandi zinazopatikana kwa kutumia maganda ya mizabibu[[mazabibu]] yaliyoondolewa juisi tayari ilhali mabaki bado yapo; mabaki hayo huongezwa maji na kuchachua, matokeo hukenekwa. Grappa wa Italia hupatikana kwa njia hiyo.
 
Katika nchi za Mashariki ya kati brandi ya divai au maganda ya divai huongezwa ladha hasa kwa kutumia mbegu za '''''pimpinella anisum''''' ''(aniseed)'' na hii inaleta ouzo ya Ugiriki, raki ya Uturuki na arrak ya Waarabu.