TAZARA : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''TAZARA''' ('''Tanzania Zambia Railway''') ni shirika ya reli ya pamoja ya nchi za Zambia na Tanzania. Inaunganisha bandari ya Dar es Salaam nchini Tanzania na kituo cha ...
 
No edit summary
Mstari 28:
 
==Shabaha za mradi wa kujenga TAZARA==
TAZARA ilijengwa kati ya 1970 - 1976 na [[Jamhuri ya Watu wa China]] kama zawadi kwa mataifa ya Zambia na Tanzania. Ujenzi ulitengenezwaulitekelezwa na wafanyakazi Wachina zaidi ya 20,000.

Shabaha ya mradi ilikuwa hasa kisasa ililenga kuanzisha usafiri kwa ajili ya shaba ya Zambia usiotegemea mabandari ya [[Afrika Kusini]] na [[Msumbiji]]. Msumbiji wakati ule ilikuwa koloni ya Ureno na Afrika Kusini ilitawaliwa kwa mfumo wa [[apartheid]] (siasa ya ubaguzi wa rangi). Zambia chini ya serikali ya Kenneth Kaunda iliunga mkono upinzani dhidi ya apartheid na ukoloni ikaona aibu ya kutegemea nchi hizi kiuchumi. China ilitaka kuimarisha msimamo kati ya mataifa huru ya Afrika ikajitolea kujenga reli kwa kuipa Zambia njia nyingine ya kufikia bahari.