Sulawesi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sulawesi''' (jina lake la kale '''Celebes''') ni kisiwa cha Indonesia. Kiko kati ya kisiwa cha Borneo upande wa magharibi na visiwa vya Maluku up...'
 
#WPWP #WPWPARK
 
Mstari 1:
 
 
[[Picha:Sea in Tampo Village, Napabalano District, Muna Regency, South East Sulawesi, Indonesia.jpg|thumb|Kisiwa cha Sulawesi,_Indonesia]]
'''Sulawesi''' (jina lake la kale '''Celebes''') ni kisiwa cha [[Indonesia]]. Kiko kati ya kisiwa cha [[Borneo]] upande wa magharibi na visiwa vya [[Maluku]] upande wa mashariki. Eneo la kisiwa ni 174,600 [[kilomita ya mraba|km²]]. Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Makassar. Mwaka wa 2014 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 18,455,000.