Cristiano Ronaldo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
Mstari 1:
[[Picha:Cristiano Ronaldo (5275363527).jpg|alt=|thumb|298x298px|Cristiano Ronaldo akichezea timu ya [[Real Madrid]]]]
[[Picha:Cristiano Ronaldo mwaka 2008.jpg|thumb|Cristiano Ronaldo mwaka 2018]]
'''Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro''' GOIH, ComM ([[matamshi]] ya [[Kireno]]: [kɾiʃ'tjɐnu ʁunaɫdu]; alizaliwa kwenye [[kisiwa]] cha [[Madeira]], [[Ureno]], [[5 Februari]] [[1985]]) ni [[mchezaji]] [[soka]] wa [[Ureno]]. Nafasi yake ni [[ushambuliaji]]; kwa sasa anacheza nchini [[Uingereza]] katika [[klabu]] ya [[Manchester United]] na [[Timu ya taifa|timu yake ya taifa]].