Chicharito JR Presenter jina lake halisi ni Lusajo brown Aaron Mwangomola amezaliwa tarehe 8 Agosti 1999 ni kijana anaefanya shughuli za uandishi wa habari za michezo kwenye chaneli ya Swahili Media Online na pia ni mtu anaemiliki blog yake mwenyewe ambayo ni www.chicharitojr.wordpress.com