Mathias E. Mnyampala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Mathias E. Mnyampala''' ([[Ihumwa|Muntundya Ihumwa]], [[Wilaya ya Chamwino]], [[mkoa wa Dodoma]], [[18 Novemba]] [[1917]] - [[Dodoma (mji)|mjini Dodoma]], [[8 Juni]] [[1969]]) alikuwa [[mwanasheria]], [[mzalendo]] wa [[Taifa]] la [[Tanzania]] na [[lugha]] yake [[Kiswahili]], [[mwandishi]] na [[mshairi]] maarufu.
 
Kufuatana na maoni ya [[Profesa]] Madumulla, Mathias E. Mnyampala sasa hivi nchini Tanzania ni ''Jabali Lililosahaulika''. Utafiti wa Vyuo Vikuu vya [[Tanzania]] na ng'ambo, hasa [[Ufaransa]], haukukaa kimya kuhusu kazi yake upande wa [[mashairi|Ushairi]] wa Kiswahili na [[Historia]] ya [[Wagogo]] wa [[Tanganyika]]. Lakini bado matokeo yake yanahitaji kuenezwa.
 
== Vitabu vichache vya Mathias E. Mnyampala ==