Anuary_Rajabu mwanawikimedia-Tanzania

Anuary Rajabu, ni mchangiaji wa kujitokelea katika miradi mbalimbali ya shirika la Wikimedia wa nchini Tanzania. Miradi hiyo ni pamoja na wikipedia ya kiswahili (nikiwa kama mhariri wa makala za kiswahili kutoka kikundi cha wahiriri wa makala za kiswahili Arusha, ambacho kipo chini ya Wikimedia Community User Group Tanzania), Wikidata, Wikimedia Commons pamoja na mradi wa Meta-Wiki.