Julius Wandera Maganda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Julius Wandera Maganda''' (pia Julius Maganda) ni [[mwanasiasa]] wa [[Uganda]]. Yeye ni Waziri wa wa Masuala ya [[Afrika Mashariki]] katika Baraza la Mawaziri la Uganda. Aliteuliwa kwa nafasi hiyo mnamo 6 Juni 2016.<ref name=":0">{{Citation|title=Roscoe, James Paul, (born 29 June 1976), Director of Communications, Cabinet Office, since 2016|date=2014-12-01|url=http://dx.doi.org/10.1093/ww/9780199540884.013.278172|work=Who's Who|publisher=Oxford University Press|access-date=2021-06-29}}</ref>
 
== Maisha ya awali na elimu ==
Alizaliwa katika Wilaya ya Busia Mkoa wa Mashariki wa [[Uganda]], mnamo 13 Agosti 1971. Alisoma Shule ya Msingi Bulekei kwa masomo yake ya msingi. Kisha alisoma katika Chuo cha Masaba Busia kwa elimu yake ya sekondar. Alimaliza masomo yake ya kiwango cha juu katika Shule ya Upili ya Mbale, huko Mbale, Wilaya ya Mbale. <ref name=":1">{{Citation|title=Women members of the British parliament|date=2019-12-01|url=http://dx.doi.org/10.1093/ww/9780199540884.013.90020|work=Who's Who|publisher=Oxford University Press|isbn=978-0-19-954088-4|access-date=2021-06-29}}</ref>
 
Ana digrii ya Shahada ya Utawala wa Umma kutoka [[Chuo Kikuu]] cha Kiislamu nchini Uganda, aliyopewa mnamo 2007, na Cheti cha Mazoezi ya Sheria, kutoka Kituo cha Maendeleo ya Sheria, kilichopatikana mnamo 2009. Stashahada yake ya Uzamili katika Usimamizi ilitolewa na Taasisi ya Usimamizi ya Uganda mnamo 2014.<ref>{{Citation|title=Davis, Nicholas Darnell, (4 Feb. 1846–27 Sept. 1915), Auditor-General of British Guiana, 1898–1908; Member of Executive Council, and ex officio Member Court of Policy|date=2007-12-01|url=http://dx.doi.org/10.1093/ww/9780199540884.013.u185264|work=Who Was Who|publisher=Oxford University Press|access-date=2021-06-29}}</ref>
 
== Kazi ya kabla ya kisiasa ==