Machweo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+ maelezo pambazuko
Nimeongeza picha
Mstari 1:
[[File:Sunset 2007-1.jpg|thumb|250px|[[Jua]], [[dakika]] moja kabla ya kuchwa huko [[Ureno]].]]
[[File:Sunset at Selous Game Reserve.jpg|thumb|Machweo katika Hifadhi ya Taifa Nyerere [[Tanzania]].]]
'''Machweo''' (au [[Magharibi]]) ni kipindi cha [[siku]] ambapo [[jua]] linatoweka kabisa kwa [[macho]] ya [[watu]] wa eneo fulani, kabla ya kwanza [[usiku]]. Kinyume chake ni macheo au [[pambazuko]] inayotokea wakati usiku unakwisha na mchana unaanza.